kwa ajili ya music ungana nami hapa http://www.hulkshare.com/hansbonge
Wednesday 9 October 2013
MALYSIA WAMTENGEZA PETE AMBAYO UKIVA UNABAKI Na NENO 'Married' Kwenye Kidole Baada Ya Kuva Hii Pete Ya Pekee, Picha Iko Hapa
Star wa Basketball Wives LA Malaysia Pargo amegundua njia nyingine nzuri ya kumbana mume au mke wako. Hii itasaidi zaidi wale wana ndoa wanaopenda kuvua pete wakati wana saliti ndoa zao. Pete hii unayoiva kwenye kidole chako cha ndoa inabakiza neno MARRIED Kwenye kidole chako so ata ukitoa bado unaye mdanganya atajua tu kuwa upo kwenye ndoa. Malaysia amesema wanaume husema wanapenda kuvua pete wakiwa Kwenye mazoezi 'Gym' na muda mwingine wana sahau kuzirudishia kidoleni.
Malaysia amesema tayari ametengeneza Pete moja kwa ajili ya mume wake na ndio hio kwenye picha
No comments:
Post a Comment