Hans Bonge Music

kwa ajili ya music ungana nami hapa http://www.hulkshare.com/hansbonge

Thursday 5 December 2013

Picha ya kwanza aliyopigwa mpenzi wa mwigizaji Paul Walker toka kifo kitokee.







Girlfriend wa muda mrefu wa mwigizaji Paul Walker aliefariki kwenye ajali ya gari,
ameonekana kwa mara ya kwanza toka kitokee kifo cha mwigizaji huyu aliefariki
November 30 2013 California, U.S.
Girlfriend wake aitwae Jasmine Pilchard-Gosnell alionekana akiwa mnyonge na
anaetokwa machozi mara kwa mara baada ya kuonekana hadharani kwa mara ya
kwanza toka kifo cha Paul kitokee ambapo unazoziona hapo juu ni picha za kwanza
alizopigwa toka kifo cha Paul aliefariki akiwa na umri wa miaka 40 huku girlfriend wake
akiwa na 23.

Saturday 19 October 2013

Jela kweli pamembadilisha LULU, soma hichi alichokisema kuhusu Babu seya na mwanaye

Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”
Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao ya kesi ya ulawiti inayowakabili
Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.

Wednesday 9 October 2013

BAADA YA SKENDO YA DIAMOND NA WEMA KULIDIANA KAPANDA CHATI DIAMOND AAMUA KUFUNGUKA KWA KUPITIA INSTAGRAM



Diamond alikanusha taarifa za kurudiana na Wema kisha akaongezea kwamba kuachana na mtu mapenzini haimaanishi ndio uadui umeanza…

MALYSIA WAMTENGEZA PETE AMBAYO UKIVA UNABAKI Na NENO 'Married' Kwenye Kidole Baada Ya Kuva Hii Pete Ya Pekee, Picha Iko Hapa

 Star wa Basketball Wives LA Malaysia Pargo amegundua njia nyingine nzuri ya kumbana mume au mke wako. Hii itasaidi zaidi wale wana ndoa wanaopenda kuvua pete wakati wana saliti ndoa zao. Pete hii unayoiva kwenye kidole chako cha ndoa inabakiza neno MARRIED Kwenye kidole chako so ata ukitoa bado unaye mdanganya atajua tu kuwa upo kwenye ndoa.

Malaysia amesema wanaume husema wanapenda kuvua pete wakiwa Kwenye mazoezi 'Gym' na muda mwingine wana sahau kuzirudishia kidoleni.
Malaysia amesema tayari ametengeneza Pete moja kwa ajili ya mume wake na ndio hio kwenye picha

Tuesday 8 October 2013

KUMBE NYIMBO YA DIAMOND NIKIFA KESHO IMEVUJA

DIAMOND BAADA YAKUVUJISHIWA NYIMBO YAKE NIKIFA KESHO ASEMA 
MANENO HAYA
Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia 
wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia 
Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo
 Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine 
 Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi...
.ila Kuvujisha Unajisumbua bure!

Hisia zangu za pelekea kuandika haya nikiwa na uzuni 
ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia
 dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi 
namwachia Mungu pia....Imani iliyo ndani yangu nikiamini 
kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka
 Upya,Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hiv
 karibun.Hii ni changamoto kwangu na Kuweza 
kujua sheria na katiba za Muziki wangu na
 kusimamia Haki zangu...... Nawapenda Sana Mashabiki Zangu..... #WCB #CocaBoy for Life

Monday 7 October 2013

WABONGO NOMA CHEKI ALICHOKISEMA ROBEN VAN PERSIE BAADA YAKUKUTANA NA HASHEEM THABEET CHEKI HII PICHA


KUMBE ATA MASTAR WAKIKE WANAWE2MIA VIWEMBE

NCHINI Nigeria wiki iliyopita kulikuwa na gumzo la msichana aliyechanwa na  viwembe na rafiki yake akaharibika mno sehemu ya paji la uso kisa walikuwa wakigombea mwanaume. Wakati wengine wakihaha na tindikali upande wa pili wa ishu za kimapenzi, viwembe na kupigana chupa ndizo silaha za mahangamizi.

Katika ulimwengu wa mastaa kila kukicha matukio yanatokea mapya yakiwemo ya kufurahisha, kuhuzunisha na kushangaza.

Kwa upande wa mastaa wa kike Bongo, wamekuwa na vituko vingi ikiwa ni pamoja na wao wenyewe kwa wenyewe kupigana na kuchanana viwembe kisa mapenzi. Ishu kubwa hapa ni kugombea wanaume kunakosababisha yote hayo.

Hivi karibuni kumezuka wimbi la mastaa kupigana wenyewe kwa wenyewe au kupigwa na warembo wengine wa mjini na silaha kubwa inayotumika ni viwembe na chupa kisa kikubwa kikiwa ni wivu au kusalitiana katika mapenzi kwani utakuta msanii anakuwa na uhusiano na mwanaume ambaye anajua ni wa rafiki yake na alishatambulishwa kuwa ni shemeji yake.

Watafiti wa mambo wanasema mastaa hawa wameamua kugeuza viwembe na chupa kuwa silaha zao za maangamizi kutokana na kukosa nguvu za kuhimili kipigo na mara nyingi mhusika anayetumia silaha hizi huwa anamlenga adui yake kwenye uso ili amuharibu sura na muonekano wake uwe mbaya ashindwe kuchukua waume za watu.

Leo tunakuletea listi ya baadhi ya mastaa wa Kibongo ambao wamewahi kuchanwa viwembe au chupa wenyewe kwa wenyewe au staa na wasichana wa mjini.




 Elizabeth Michael 'Lulu'.

ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’ Vs YVONNE MAXMILIAN
Lulu ni msanii wa filamu za Kibongo. Aliwahi kuchanwa na viwembe pembeni mwa paji la uso na mwanadada wa mjini anayejulikana kwa jina la Yvonne Maximilian na sababu kubwa ilikuwa ni ishu za kimapenzi.

AUNT EZEKIEL Vs YVONNE
Mwanadada huyu anayekimbiza katika kiwanda cha filamu Bongo hivi karibuni alichanwa na chupa mkononi na Yvonne ambaye ndiye alimchana Lulu pia na kumsababishia maumivu makali.

Aunt alijeruhiwa na kwenda kushonwa nyuzi kadhaa mkononi na sababu kubwa ilidaiwa ni mwanaume wa Yvonne anayejulikana kwa jina moja la Geofrey. Ilielezwa kuwa mwanaume huyo aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Aunt wakaachana. 

Yvonne alikuwa akimtuhumu Aunt kuwa anaendeleza uhusiano na mwanaume huyo, jambo ambalo lilimsababisha yeye kuchukua hatua ya kumchana chupa mkononi.

Kama siyo kujikinga kwa mkono, mwanamke huyo alitaka kumchana Aunt usoni katika Ukumbi wa Bilicanas jijini Dar ili kumharibu sura.
 
WATOTO WA MBWA Vs HAMISA

Wasanii watatu, Tiko Hassan, Mary Mawigi na Thecla wanaounda kundi moja linalojulikana kwa jina la Watoto wa Mbwa, miezi kadhaa iliyopita walidaiwa kumvamia msanii mwenzao aliyetajwa kwa jina moja la Hamisa nyumbani kwao maeneo ya Ilala na kumjeruhi usoni na kitu kilichodaiwa ni wembe.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wasanii hao walimvamia mwenzao huyo na kumchana ambapo walipelekwa polisi na kutoka lakini baadaye waliyamaliza.

Sababu kubwa ya wasanii hao kumvamia mwanadada Hamisa ilidaiwa kuwa alimchukuwa mwanaume wa mmojawapo (Mary) ilihali akijua kwamba ni shemeji yake, jambo ambalo liliwakera na kumuengua kwenye kundi na kuchukua hatua ya kwenda kumvamia.

MKALI WA HIP HOP KUTOKA MWANZA KUPITIA BSS AINGIZWA MJINI NA MATAPELI WA MTANDAONI SOMA HAPA

 wAJANE YATIMA WASINGECHOKA KUKUFUATA
WACHEZA KAMALI MA IMAMU NA MA PASTA
MGONJWA ANAOMBA APONE MAPEMA
WAKATI MUUZA JENEZA ALIKULILIA MAPEMA
MUUGUZI ANASEMA
BABA HUYU MGONJWA USIMPONYE MAPEMA
NINA SHIDA NA KIASI CHA HELA KWA AJILI YA MAMA
NAHISI UNGEHISI TUNAKUSAKAMA 
KINA SISI TUNAOTAKA RIDHIKI KWA KUCHANA
MWANAFUNZI ANALIA MIMBA ITOLEWE
WAKATI MGUMBA ANAKESHA MACHO NA MMEWE
VIPI SASA MUNGU NDO UNGEKUWA WEWE?
KIFARANGA ANATEMBEA AKIKUOMBA WEWE
SIKIA MAOMBI JUU YA MWEMBE CHAKULA ANATAKA MWEWE
UNGEYASIKIA MAAOMBI YA KICHAA?
AU UNGEKOMBA PESA ZOTE HALAFU UKAKESHA BAR?

NYUMA YA PAZIA KWA UTENEZAJI WA NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ

                                      Saa 6 usiku!Somewhere in Dar es salaam with ma producer 
                                                       Tudd thomass nikukuandalia mambo mazuri mapya
                                  Idea zipo nyingi kweli sijui nitumie ipi!!!!



                         Idea iko poa,tatizo mistari haipangiki kabisaa!!!
                                        Huu mstali sijui uanze mwanzo??
                        .............au chorus asimamie mwangu Chegge...???

                           Ahsante Mungu,mistari yote imesimama penyewe...ila chorus sasa

                         Ha ha ha hivi Chegge stayle yangu na yako vinaendana kweli!!??
                                    Saa 10 alfajiri!!Baby  ananipigia akihofia usalama wangu
                              Tudd vipi  tena!!nishamaliza ananirudisha nyumaa..ha ha ha!!!!!

HAPPY BIRTHDAY DAY MY PRESEDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE YUPAMOJA NAWE


                                          HAPPY BIRTHDAY MH KIKWETE

Saturday 5 October 2013

UMESHAJUA WENZETU WANAVYOWAENZI MASTAR WAO CHIKI HIZI PICHA UCHEKI MICHAEL JACKSON WANAVYO MUENZI NA WENGINE WENGI

                                              JACKIE CHAN
ANGALIA VIZURI KWENYE BALABALA WAMEANDIKA JINA LA MICHAEL JACKSON

KICHUPA KIPYA CHA D'BANJ


dah ZILE PANDE ZA MOSHI ZILINUKA KINOMA CHEKI PICHA BAADHI ZA SERENGETI FIESTA MOSHI YANI NI BALAA

ALI NIPISHE


                                                                           LINAH

                                                           MWANA DADA SHILOLE
                                             MWANA DADA SHILOLE MZUKA WAKE UKAPANDA


                                                    SHILOLE AKIGAWA ZAWADI KWA SHABIKI WAKE



                                                   CASSIM MGANGA TAJILI WA MAHABA

                                     

                                                   TUNAFURAI-CHEGE & TEMBA
                                                        CHEGE&TEMBA

                                    YAPO WAPI MAPENZI-CHRISTIAN BELLA



                                       BROTHER MISIFA-DULLY SYSKES


                                                              UTAM UTAMU-DULLY



                                        SALASALA-NATAKA KULUKA      KINGZILA


KUNA JOGOO VICHAA HUMU BASI WAAMBIE TUKUNYEMA KWAMBA MMO-JAMBO
                                                                      SQUAD

                                          TUMIA PESA IKUZOEE-__MR BLUE

                                                             MR BLUE
                              ONE TIME ALAFU ROHO YANGU_RICH MAVOKO

                            NAOMBA MUWAFIKISHIE SARAM ZAO-NEY WA MITEGO

YOUNG KILLER 

                                        PANGA LA SHABA-WEUSI

                            MARA IKAANZA KUNUKIA HALUFU YA CHEZA BILAKUKUNJA GOTI

                                          AY & FA



 WAKANZA KUCHEZA BILA KUKUNJA GOTI ILIKUWA NI MTAFUTANO YANA NI SHIDA